Kiwanja kinauzwa Mawasiliano, Morogoro


KIWANJA KINA FENSI UPANDE MMOJA KINAUZWA MLIMWA "C" JIJINI DODOMA
Eneo ukubwa ni 860 sq.m
Kina HATI
Kipo mita 200 toka LAMI MPYA YA MPAMAA
Kinafaa kwa UWEKEZAJI au MAKAZI
Eneo limejengeka
Bei ni Tshs. 47,000,000/= ( milioni arobaini na saba tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"