Kiwanja kinauzwa Mawasiliano, Morogoro


KIWANJA KINA FENSI UPANDE MMOJA KINAUZWA MICHESE BLOCK YL JIRANI NA TANESCO JIJINI DODOMA
Eneo ukubwa ni 600 sq.m
Eneo limejengeka
Maji/Umeme upo
Kipo sehemu nzuri
Kina FENSI upande mmoja
Bei ni Tshs. 7,800,000/= ( milioni saba na laki nane tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"