Kiwanja kinauzwa Mbagala, Dar Es Salaam


NYUMBA MPYA INAUZWA MBAGALA MZAMBARAUNI KWA TSHG MILLION 80,000,000/=
CONTACT:0710013234/0754908045
BEI TSHG MILLION 80
INA VYUMBA VINNE 4 VYA KULALA CHUMBA KIMOJA KINA MASTER BEDROOM DINNING ROOM PUBLIC TOILET JIKO NA SITTING ROOM PIA UMEME UPO MAJI YAPO HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZINAPATIKANA JIRANI TU
IKO MITA CHACHE TOKA MAIN ROAD YAANI UNASHUKA KWENYE GARI UNAINGIA NDANI
WOTE MNAKARIBISHWA SANA BADO IPO WAHI MTEJA UMILIKI NYUMBA YAKO SAFI KABISA