Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam


:
NYUMBA MPYAA KABISA KUBWA SANA INAUZWA MBEZI NJIA YA MPIGI MAGOHE
BEI NI MILION 70
INA UKUBWA WA ENEO LINA METER 25 KWA METER 25
FENS NDO IMEANZA KUJENGWA KIUFUPI NI STAND ALONE
YENYE VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA DINNING KUBWA JIKO NA STORE CHOO CHA FAMILY KIKUBWA NA BAFU LAKE
MASTER NI KUBWA SANA YAANI
BARA BARA MKEKA HADI KWENYE NYUMBA
UMEME TIYALI MAJI TIYALI HUDUMA ZA KIJAMII ZOTE ZIPO IPO KWENYE MTAA WA KISHUA SANA
SURVEY CHARGE 20k
PIGA SIMU
CALL:0785889413
WSP:0785889413