Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam
KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA MBEZI LUIS MAGETI - DAR ES SALAM.
Kiwanja Kiko Mtaa Mzuri Umejengeka Kwa Mpangilio
Umiliki: Mauziano Ya Serikali Ya Mtaa (Eneo Limelasimishwa Tayari Hati Inatoka Kwa Jina La Mnunuzi)
Ukubwa Wa Eneo: SQM 550
Umbali: 2.5 Kilometres Kutoka Goba Road
Kufika Kwenye Kiwanja Unaweza Kuingilia Mageti Au Kwa Robert
Bei : 27 Million (Maongezi Yapo)
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 30,000/=