Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam


Kiwanja kinauzwa kipo mbezi makabe.
Ukubwa ni square meters 942
Umiliki Hati miliki
Kutoka goba rod ni km moja na nusu na Kutoka makabe rod ni mita 200 upo kwenye eneo. Pia barabara ya makabe imeshaanza kuwekwa lami.
Bei milioni 75 maongezi yapo
Piga 0719190753/0759197277


















