Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam
ENEO LINAUZWA
LIKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-MBEZI LUIS
MITA 200 TOKA MOROGORO ROAD ๐ฃ๏ธ
UKUBWA WA ENEO LIMEPIMWA SQM 1035
NYARAKA ZA UMILIKI LINA HATI SAFI YA WIZARA
VILIVYOMO NDANI;
Pagale lenye ramani ya kisasa vyumba vitatu vya kulala viwili katiyavyo ni master, Dinning, Sebule, Jiko, Stoo & Public Toilet
Pembeni yake Chumba kimoja master na Sebule yake
Jiko & Public Toilet vya nje
ENEO ZURI SANA LIKO JUU TAMBARARE LIMEZUNGUSHIWA FENCE YA KISASA YENYE CCTV CAMERA LIMEZUNGUKWA NA NEIGHBOURHOOD YA KISHUA
LINAFAA KWA; Ujenzi wa Nyumba binafsi ya kuishi pamoja na Apartments za biashara pia
MIUNDOMBINU YAKE;
Maji x Umeme vyote vipo
BEI LINAUZWA TSHS MIL 95
KWA MAWASILIANO PIGA;
+255 718 936 416
+255 768 914 118
Tajiri punguza chawa njoo mwenyewe halihitaji washauri hili ๐ค