Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam


NYUMBA INAUZWA NYUMBA IPO MBEZI MALAMBA MAWILI
NYUMBA NI YA VYUMBA V3 SEBULE JIKO DAINING PUBLC CHUMBA MASTER
NJE IPO FREM MOJA
NYUMBA IPO UMBALI WA KM 1.5 TOKA BARABARA KUU YA KINYEREZI ROAD
ENEO SQM 500
BEI MIL 55 MAZUNGUMZO YAPO
NYUMBA NZULI NA YA KISASA
MAJI UMEME VIPO
KARIBU SANA MTEJA