Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam


JAMANI HIIII NI BIASHARA YA CHAP HIII PLOTS INAUZWA MBEZI BEACH AFRICANA NI UMBALI WA MITA 700 TU TOKA LAMI HUUU NDIO MPILA ULIKUFA. MWENYEWE ANATAKA PESA YA CHAP. TOKA MILLION 100. SASA NI MILLION 70 TU.
LOC : MBEZI BEACH AFRICANA
AREA : SQMT 900.
PRICE : MIL 70
UMILIKI: HATI YA MAUZIANAO
Call:
Nb: Ukipenda hii nyumba piga simu, Sms zinachelewesha.
HUDUMA ZOTE ZIPO... GHARAMA YA KUPELEKWA SITE NI SH ELF 50. HII HAIHUSISHI USAFIRI.