Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam
#KIWANJA #KIWANJA #KIWANJA
KIPO MBEZI MWISHO UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA KIBAMBA
HUU UPANDE WA STEND YA MKOA MAGUFULI BAS TEMINAL
KIWANJA KINA UKUBWA WA MITA 55 KWA 45
KIWANJA KINA FENCE NA GETI KABISA
BEI NI MILIONI 85 ILA MAZUNGUMZO YAPO
KIWANJA KINA HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII KINAFIKIKA VIZUR SANA KWA GARI YA AINA YOYOTE
SERVICE CHARGE NI TZS 25,000/=
CONTACT
0652472014