Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam
*NYUMBA ZINAUZWA ZIPO MBEZI MWISHO ZIPO NYUMBA MBILI KWENYE ENEO MOJA, ZOTE ZINAUZWA KWA PAMOJA*
โ๏ธ: 0710013234 ==== 0754908045 ๐
BEI TSHG MILLIONI 120,000,000/=
Nyumba kubwa ya chini inavyumba vitatu (3) vya kulala na vyumba viwili (2) ni master bedroom, Ina setting room, dinning room, kitchen, public toilet
Na nyumba ndogo ambayo ni ghorofa inavyumba viwili (2) vya kulala na vyate ni master bedroom, kiwanja chake ni Sqm 600 documents Hati ya mauziano serikali ya mtaa kiwanja kimerasimishwa tayari
BEI 120M
karibu service charge ni elfu 30,000/=