Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam


KIWANJA KINAUZWA
Mahali : MBEZI BEACH (AFRIKANA)(UPANDE WA CHINI),
Ukubwa wa Eneo : Sqm 500
๐ธEneo linafaa Kwa Matumizi yeyote (Ujenzi wa Apartment, nyumba ya Kuishi ,
๐ธEneo Lina Hati Miliki kutoka Wizara ya Ardhi
๐ธEneo lipo Karibu na barabara ya lami (Dakika 5 Kwenda lami)
Bei : Million 150 Tsh
Tafadhali Tupigie
dalalimbezibeach_goba_salasala
#0715127812