Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam
Nyumba nzuri sana ya kisasa Inauzwa imeshuka bei kwa sasa milioni 75 maongezi yapo🇹🇿 Ipo Mbezi Makabe - MSUMI - Dar es salaam - Tanzania
▫Inavyumba Vinne vya Kulala
◇Master Bedroom
▫Sitting room
◇Dining room
◇ Kitchen
◇Store
▫ Public toilet
▫Ukubwa wa kiwanja: sqmt 600
◇document Sales agreement (Hati ya mauziano ya selikali za mitaa)
◇Kiwanja kimepimwa Hati miliki itatoka kwa Jina la mteja atakae nunua
◇ Maji safi umeme vyote vipo
◇Umbali ni mita 100 kutoka mean road