Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam


*Eneo kwa ajili ya Kiwanda linauzwa Mbezi Beach-Viwandani*
*Distance* Kutoka Bagamoyo road ni 350 Meters
*Location* Eneo liko Barabara ya kuelekea Mbezi Garden Hotel upande wa kushoto ukitokea Mwenge
*Neighbourhood* Eneo lipo Jirani na Viwanda vingi vya Wachina
-Eneo lote limezungushiwa ukuta na geti
-Plot size Sqm 2,473
-Document: Title Deed
0787 939 898
*Matumizi* Light Industry
*Bei shilingi milioni 900 maongezi kidogo*