Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam
KIWANJA KINATUPWA JAMANI,
KONA PLOT,
Kimepimwa tayar
maji na umeme vipo,
SQM 1056,
Bei 43m, maongezi yapo,
Location; mbezi msakuzi, goba road
ni kiwanja cha tatu kutoka barabara ambayo wameanza kuweka lami, kuna daladala na bajaj
0745559598