Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam
KIWANJA KINAUZWA
MBEZI BEACH,
KINATIZAMA BARABARA KUU YA MWENGE-TEGETA
(BAGAMOYO ROAD)
BEI YA KUUZA NI MIL 750 TU ZA KITANZANIA, MWANZO YALIKUWA MABILION HUKO KIBAO😀.
KINA HATI MILIKI SAFI, ANAYEUZA NI MTU MMOJA SIO FAMILIA, WALA HAKUNA MKOPO.
UKUBWA WA KIWANJA NI SQMT 1200.
NA KIWANJA KIPO NDANI YA FENSI.
MAWASILIANO ZAIDI:
dalalimbezibeach_goba_salasala
#0715127812call