Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam


KIWANJA SQM.1004, TSHS.500 MILIONI, MBEZI- JOGOO.
Hiki ni Kiwanja kizuri kwaajili ya Makazi.
Kipo jirani na Barabara ya Bagamoyo.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
Mtaa tulivu na uliojengeka vizuri.
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
+255 714 591 548
___________slt