Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam


NYUMBA MBILI NDANI YA KIWANJA KIMOJA ZOTE KWA PAMOJA ZINAUZWA
NYUMBA ZIPO MBEZI NYUMA YA STENDI KUU YA MAGHUFULLI TERMINAL
NYUMBA ZIPO UMBALI WA KM 1 TU TOKA MORO ROAD
NYUMBA KUBWA INA VYUMBA V3 SEBULE JIKO DAINING PUBLC CHUMBA MASTER
NA GHOLOFA INA VYUMBA V2 JUU KIMOJA MASTER NA SEBULE
CHINI KIPO CHUMBA KIMOJA CHA SIZE NA PUBLC NA SEBULE
ENEO LILOBAKI NI PARKING GARI 3 AU 4 NDOGO
BEI MIL 120
HATI MAUZIANO SELIKALI YA MTAA
UMBALI KM 1
MAJI UMEME VIPO
SEVICE CHAJI 30 ELFU
NYUMBA NI MPYA
KARIBU SANA MTEJA