Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam







LODGE INAUZWA MBEZI KWA MSUGURI DK 3 LAMI KWA MGUU
INAVYUMBA 10 VYOTE NI MASTEER BEDROOM
PIA INACHUMBA KIMOJA NJE
NA GROCERY KUBWA
AMBAYO PIA INACHUMBA KIMOJA KUBWA CHA KULALA WAFANYA KAZI
PUBLIC TOILET NJE
NDANI YA FENSI
PARKING KUBWA
INA HATI MILIKI YA WIZARA TITTLE DEED
ENEO SQMT 500
BEI 180M MAONGEZI KDG
KUONA ELF 30
CONTACT
0742260844
0657384670