Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam


NYUMBA INAUZWA BINAFSI MBEZI MWISHO MAKABE (UBUNGO MUNICIPALITY)
Ina Vyumba Vitatu Kimoja Master,Dinning,Sitting,Kitchen&Public Toilet
Umiliki: Mauziano Ya Serikali Ya Mtaa (Eneo Limelasimishwa Tayari)
Ukubwa Wa Eneo: SQM 800
Umbali: 4 Kilometres Kutoka Morogoro Road
Nyumba Iko Mtaa Mzuri Umejengeka Vizuri
Bei : 47 Million
0788156493
0614130017