Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam


House for sale
Lacation mbezi beach Afrikana
Ni nyumba ya 3 kutoka barabara kuu
Nyumba hipo mtaa mzuri sana
Ukubwa wa eneo ni skwea mita 1902
Document ni hati miliki
Bei yake ni milioni 800
Ni nyumba ya gorofa yenye vyumba sita
Vitatu ni master bedroom
Sitting room
Dainroom
Pablick toilet
Kinchein
Store
Service charge ni elfu hamsini kupelekawa saiti
Zingatia maelezo mteja wangu tuepushe usumbufu
Contact namber from dalali-0719131551
Karibuni sana wapendwa wangu