Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam
NYUMBA INAUZWA BINAFSI
IPO MBEZI MWISHO MSHIKAMANO, NYUMA YA MAGUFULI BUS TERMINAL
BEI TSH MILION 55
UKUBWA WA ENEO SQM 400
UMILIKI:MAUZIANO YA SERIKALI YA MTAA
VYUMBA 3 VYA KULALA
CHUMBA KIMOJA SELF
SITTING ROOM
DINNING ROOM
KITCHEN
PUBLIC TOILET
MAJI YAPO DAWASA
UMEME UPO
FENSI IPO, ILA IMEANGUKA UPANDE MMOJA
GHARAMA YA KUPELEKWA SITE KUONESHWA NYUMBA TSH ELFU 30,000/=
PIGA SIMU KWA MAELEZO ZAIDI 0689 905 338.