Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam


Eneo linauzwa,
Lipo mbezi Beach Rafia
Upande wa (chini) kulia kama unaelekea Tegeta,
Karibu na sheli ya camel,
Ukubwa ni heke 5 (19,729 sqm)
Eneo lina hati miliki (title deed)
Lina barabara mbele na nyuma.
Bei usd 1.4m/ billion 4.
Maongezi yapo.
Mawasiliano 0679 077638