Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam


.
#KIWANJA_KINAUZWA
#MBEZI_MWISHO_NJIA YA MPIJIMAGOWE KITUO MACHIMBO
KIWANJA KINA UKUBWA WA SQMT 1200
KIPO TAMBARARE SANA NA KIPO KWENYE BARABARA YA MTAA MAJI UMEME VIPO KARIBU KABISA
NA PANA FIKIKA VINZURI MUDA WOWOTE KWA GARI YOYOTE
UMBALI KM 4 KUTOKA STEND YA MBEZI MWISHO.
USAFIRI BAJAJI AU DALADALA
BEI SH MILIONI 36
KUONESHWA KIWANJA SH 25,000/=
PIGA SIMU: 0769138053