Kiwanja kinauzwa Mbweni, Dar Es Salaam
Nyumba (apartments 6) Inauzwa Tsh Milioni 665,
Mbweni Malindi,Dar es salaam Tanzania
------------------
(1) Nyumba (apartments 2)
Kila moja vyumba 3 vya kulala/kimojawapo kina choo na bafu/Sebure/Jiko/sehemu ya kulia chakula/choo na bafu vya familia/umeme -luku/Maji_dawasa /AC nk
_______
(2) Apartments 4;
Kila Nyumba ina vyumba 2 vya kulala/kimojawapo kina choo na bafu)Sebure/Jiko/sehemu ya kulia chakula/choo na bafu vya familia/umeme -luku/maji_dawasa/AC nk
^ Ukubwa wa eneo sqm 889
^ Umiliki; Hati miliki ya wizara ya aridhi.
_________
*Mnunuzi : Atalipia Tsh 50,000/= kupelekwa kuangalia nyumba.
_________
Napatikana ; Kinyerezi Dar es salaam Tanzania
*Piga simu/WhatsApp no+255(0)689508094