Kiwanja kinauzwa Mbweni, Dar Es Salaam


ENEO LINAPANGISHWA
LIPO ~ DAR ES SALAAM - Tz
MAHALI ~ MBWENI UBUNGO
____________________
KODI ~ 𝖳𝖲𝖧 4,000,000/=
𝖪𝖶𝖠 𝖬𝖶𝖤𝖹𝖨
________________
ENEO NI KUBWA SANA
LINA SIFA ZIFUATAZO
_____________
Linatazama barabara ya lami
Lina ukubwa wa sqm usiopungua elfu 4000
Lina ukuta & maji & umeme
Lina vyoo vya kutosha upande wa kike na kiume
Lina vyumba viwili vya kulala
Lina garden nzuri yenye kuvutia
____________________
USHAURI :
_________
Unaweza ukakodi ukafungua kumbi za sherehe kama harusi , send off , kipaimara, komunio , au sehemu ya vikao mbalimbali vitakavyokuwa vinafanyika hapo
Pia unaweza ukafungua resort nzuri ya kuvutia ikakutanisha familia kwa kuja kula nyama choma mbuzi choma chips NK . Vipo vitu vingi unaweza fanyia katika eneo hili kazi ni kwako
Au unaweza kufungua sehemu ya michezo ya watoto wakawa wanakusanyika hapo
______
𝖯𝖠𝖬𝖮𝖩𝖠 𝖭𝖠 𝖬𝖠𝖫𝖨𝖯𝖮 𝖸𝖠 𝖬𝖶𝖤𝖹𝖨 𝖬𝖬𝖮𝖩𝖠 𝖶𝖠 dalalisulle_mbezibeach
_______
GHARAMA YA KUONA NYUMBA 20K ( SERVICE CHARGER)
_______
MAWASILIANO
#0685596339
#0744425669