Kiwanja kinauzwa Mbweni, Dar Es Salaam


TSHS MIL 30, CONNER PLOT INAUZWA
KIPO-DAR ES-SALAAM Tz
MAHALI-MBWENI KIEMBENI
KINAFACE BARABARA KUU INAYOWEKWA LAMI 🛣️ HIVI SASA
KIMEPIMWA UKUBWA WAKE SQM 980
NYARAKA ZA UMILIKI KINA SALES AGREEMENT
KIWANJA KIZURI KIKUBWA KIKO TAMBARARE
KINA MSINGI TAYARI WA FENCE + TOFALI KADHAA & MCHANGA
NEIGHBOURS HOOD NZURI YA KISHUA
HAKINA MGOGORO, KESI WALA SIO URITHI WENYEWE WANAPUMUA KAMA WEWE MKE & MME WAKO PAMOYAA 💍 WANAPENDANA 💞MPAKA KIFO KITAKAPOWATENGANISHA! 😅
BEI KINAUZWA TSHS MIL 30 TOOP!
HAINA MAONGEZI
KWA MAWASILIANO PIGA;
+255 718 936 416
+255 768 914 118
Kimenyooka njoo ukiokote! 🤔