Kiwanja kinauzwa Mbweni, Dar Es Salaam
Nyumba inauzwa Tsh Milioni 350,
Mbweni Mpiji,Dar es salaam Tanzania
========
●Nyumba ina vyumba 5 vya kulala/vyumba 3 vina vyoo na bafu/sebure/jiko/sehemu ya kulia chakula/choo na bafu vya familia/umeme-luku/Maji-dawasa nk.
●Ukubwa wa eneo Sqm 1200,
●Umiliki : Hati miliki ya wizara ya aridhi.
_______________
■ Mnunuzi : Atalipia Tsh 30,000/= kupelekwa kuoneshwa nyumba.
___________________
■Napatikana : Kinyerezi Dar es salaam Tanzania
Piga simu/WhatsApp no +255(0)689508094