Kiwanja kinauzwa Misugusugu, Pwani




EKA 5 KWAJILI YA SHUGHULI ZA VIWANDA, TSHS.1.3 BILIONI, MISUGUSUGU-KIBAHA.
Eneo ni tambarare na lipo jirani sana na Barabara ya Morogoro.
Umiliki ni HATI ya Wizara.
_______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe mnunuzi)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255714591548
_______________zw
Industrial Plot ya Ekari 5 inauzwa Kibaha, Misugusugu*
*Location* Eneo liko upande wa kulia ukielekea Chalinze
-Eneo ni tambarare
*-Eneo linafaa kwa ujenzi wa Kiwanda, Godown, Bandari Kavu, Yard n.k*
-Plot size Ekari 5
-Document: Title Deed
*Bei shilingi Bilioni 1.3 mazungumzo yapo*