Kiwanja kinauzwa Mji Mpya, Morogoro
Mji Mpya, Morogoro CBD, Morogoro
9 months ago
Sh. 6,500,000
ACHA kufikiria kuhusu boda boda baada ya kushuka kwenye daladala,
kiwanja hiki kipo makunganya Morogoro manispaa
SIFA YA KIWANJA
1, Kimepimwa na kina docoment zote za upimaji,
2, kina ukubwa wa 40 kwa 20 (sqm 800)
3.kipo mita 100 kutoka barabara kubwa ya lami,
4. ni mji mpya umejengeka kisasa,
5. umeme upo,
kukiona ni siku yoyote bure
bei milion 6.5 tu
0652644084