Kiwanja kinauzwa Mjini, Ruvuma


Kiwanja kizuri tambarare kabisa kinauzwa Milioni 13
Kiwanja kina miguu 10-14 kinafaa kujenga apartments za biashara ukapata hela kwa haraka kipo mjini kabisa
Kiwanja kinadocoument halali za mauziano kutoka serikali za mtaa
Kiwanja kipo Kati ya Kimara korogwe mwendo kasi na ubungo river said KM1.5 Usafiri bajaji 500 ukishuka unatembea dakika 1 umefika saity
Wai ndugu mteja bei za January hzo
Sevchage 25000 kwenda Kuona saity za kununua
Mawasiliano 0656623510
Wsp 0752436347


















