Kiwanja kinauzwa Mkonze, Dodoma


KIWANJA KINAUZWA MKONZE SOUTH BLOCK D JIJINI DODOMA
Eneo ukubwa ni 600 sq.m
Kipp mita 150 kutoka LAMI
Kina HATI
Maji/Umeme upo
Eneo limejengeka
Bei ni Tahs. 9,000,000/= ( milioni tisa tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"