Kiwanja kinauzwa Mkonze, Dodoma


KIWANJA KIPO MITA 400 KUTOKA LAMI KINA FENSI UPANDE MMOJA KINAUZWA MKONZE JIJINI DODOMA
Eneo ukubwa ni 700 sq.m
Kina fensi upande mmoja
Maji/Umeme upo
Eneo limejengeka
Kipo mita 400 kutoka LAMI
BEi ni Tshs. 12,800,000/= ( milioni kumi na mbili na laki nane tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"