Kiwanja kinauzwa Mkonze, Dodoma


KIWANJA KIPO MITA 300 KUTOKA LAMI KINAUZWA MKONZE JIJINI DODOMA
Eneo ukubwa ni 630 sq.m
Kipo mita 300 toka lami
Maji/Umeme upo
Eneo limejengeka
Kinafaa kwa MAKAZI
BEI ni Tshs. 4,500,000/= ( milioni nne na laki tano tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"