Kiwanja kinauzwa Mkuranga, Pwani


Shamba linapatikana MKURANGA… km 2.5 kutoka MKURANGA MJINI
Shamba lipo mita 600 kutoka lami
Lina ukubwa kwa heka 6 unaweza ukalipia zote au likakatwa kuanzia heka 2
Bei ya shamba ni TSH 4m kwa heka..
Maji na umeme unapatikana pembezoni kwa shamba
Kutembela shamba ni siku yoyote…gharama ni tsh 30,000
Kuweka appointment piga simu 0785367831 au whatsapp 0769355987