Kiwanja kinauzwa Moshono, Arusha
ARUSHA Nyumba INAUZWA.
Ipo Kata ya MOSHONO
Mtaa wa LOSIRWAI.
Ukubwa wa kiwanja. Mita 20 Kwa 20 ( 400 SQM ).
Bei 35m negotiable
Idadi ya vyumba 4
Idadai ya master 2
Nyumba zipo 2 zimejegwa Kwa mfumo wa kupangisha, vyumba viwili vya kulala Moja master, SEBULE, JIKO, WASHROOM, STORE.
Maji ya Idara, umeme na Barabara imara vipo.
Nyumba Ina parking ya gari 2.
Umbali Toka Barabara inayoenda kuwekwa lami ni mita 500.
Umbali Toka Arusha mjini ni 10km
Karibu.
0765899772 0627779772
Message innoplot on WhatsApp. https://wa.me/message/F6DG7L52WWZDM1
# Majirani wazito