Kiwanja kinauzwa Moshono, Arusha
Inauzwa ina uzwa
Nikiwanja kinauzwa jijin Arusha moshono losirwai
Nikiwanja kizuri sana kwa kujenga kuna uduma zote za kijamii umeme na maji yapo na nisehemu palipo jengeka sana ina ukubwa wa eneo marefu 35 upana mita 20 udongo mwekundu bei ml 30 ina maongez kidogo kwa mwiitaji piga number 0753503791/0784457400