Kiwanja kinauzwa Msalato, Dodoma


KIWANJA KIZURIII SANA KINAUZWA MSALATO MAGEREZA CHA KWANZA KWENYE BARABARA YA LAMI YA ARUSHA
UKUBWA SQM 2,703
NI ENEO HOT HOT SANAA
PANAFAA KWA UWEKEZAJI WA AINA YEYOTE
Mfano. shell (petrol station)
Yard
Mall
Hall
Hotel & Lodge
Flem au Apartment Biashara (BnB) au makazi
eneo hii ni jilan na uelekeo wa uwannja mpya wa ndege wa kimataifa
makao makuu ya magereza
pia uelekeo wa chuo kikuu cha mipango / chuo cha madini
chuo cha don bosco
ofis ya usalama
chuo cha bible
kina barabara 2 main road ya Arusha
nyuma barabara ya mtaa kubwa. mita 10
jilan na msalato lodge
huduma zote zipo
maji na umeme
BEI N TSH MILLION 115 Tuh
Documents Hati
Naongea na mmiliki