Kiwanja kinauzwa Msingi, Singida
Je Unahitaji eneo la kujenga Shule ya Msingi hapa Dodoma?
Hili litakufaa sana.
✔Eneo lipo Nala barabara ya kuelekea Zuzu
✔Ni kilomita 4 kutoka barabara ya Singida/Mwanza
✔Na ni kilomita 15 tu kutoka Dodoma mjini
✔Linatazama barabara kubwa ya mita 40
✔Ukubwa: Sqmita 34,682 (hekari 8.5)
✔Documents: Hati Miliki
✔Bei: Milion 190
Kwa maelezo zaidi tuwasiliane 0675 982 221
.
.
#MilikiArdhiNasi #dodomajiji #dodomazone #dodoma
#viwanjatz #bungeni #kaziiendelee #shuledodoma