Kiwanja kinauzwa Msingi, Singida







KIWANJA CHENYE MSINGI, SQM.500, KINAUZWA NA BANK,TSHS.13 MILIONI, MBEZI-MSAKUZI.
Hapa ni jirani na KKKT MSAKUZI au BETHEL PRIMARY SCHOOL.
Kiwanja kizuri cha kwenye Kona,
Kipo umbali wa Mita 600 tu kutoka Barabara kuu ya kuelekea MSAKUZI mwisho.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Bei imeporomoshwa ili Bank wafidie Pesa yao fasta hivyo kama wewe ni mhitaji wahi mapema kuona navufanye maamuzi.
_________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
_________jj
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.