Kiwanja kinauzwa Mtumba, Dodoma


KIWANJA CHA HOTEL KIPO MITA 200 KUTOKA LAMI KINAUZWA MTUMBA JIJINI DODOMA
Mahali; Mtumba
Eneo ukubwa; 6,020 sq.m
Sifa; Kipo mita 200 kutoka lami
Miundombinu ipo
Huduma za kijamii zipo
Kimepimwa
Nyaraka zote zipo
Kipo sehemu nzuri
Bei; 75,000,000/= ( milioni sabini na tano tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"