Kiwanja kinauzwa Mtumba, Dodoma


Kiwanja kizuri kinauzwa
Mahali:- mtumba
Kitalu:- DA
Mita mia toka lami(mtaa wa tatu tu)
Ukubwa:- SQM 600
Bei 13,500,000/=
Barabara yake imechongwa tayari kama inavyoonekana, umeme pia upo hapo hapo
Pamejengeka pia nyumba mpya tu
Panafaa kwa
~makazi
~apartments
~lodge
~rest houses
Mawasiliano
+255628891445
+255755690265