Kiwanja kinauzwa Mundemu, Dodoma
HEKA MBILI ZINAUZWA MUNDEMU CHILUNGULU JIJINI DODOMA
Eneo ukubwa ni HEKA MBILI
Miundombinu ipo
Huduma za kijamii zipo
Kuna MABANDA
Zipo sehemu nzuri
Bei ni Tshs. 4,500,000/= ( milioni nne na laki tano tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"