Kiwanja kinauzwa Mwenge, Dar Es Salaam


ENEO LA CAR WASH AU SHOWROOM LINAPANGISHWA
LINA SQM 430
LOCATION: MWENGE
KODI: Tsh 4,000,000 kwa mwezi malipo miez 6
Linatizama barabara ya lami
Eneo linachangamka sana (traffic kubwa ya watu & magari)
Linafaa kwa Car Wash, Showroom, Garage, Office au
biashara kubwa
“Lipo sehemu nzuri sana na strategic
RECEIPT
Gharama ya kuonyeshwa eneo: Tsh 30,000
Piga simu: 0625873687
WhatsApp: 0625873687


















