Kiwanja kinauzwa Nala, Dodoma


=>Kiwanja kwa matumizi ya Urban Farm
=>Kipo Dodoma Nala, km 25 kutoka mjini kati
=>Kiwanja kina jumla ya m² 170000
=> Ndani ya kiwanja kuna nyumba 3, kuna kisima cha maji, kuna mabomba ya maji, kuna bwawa kubwa la kuhifadhia maji mpaka lita laki moja, kuna migomba na eneo ni kubwa kiasi kwamba unaweza fanya shughuli yoyote...
BEI YA ENEO LOTE NA KILA KILICHOMO NDAN YA ENEO NI MILION 160 TU.
TUPIGIE 0754827637/0719877148