Kiwanja kinauzwa Nala, Dodoma


KIWANJA KINAUZWA NALA CHIGONGWE corner plot JIJINI DODOMA
Eneo ukubwa ni 977 sq.m
Kinafaa kwa MAKAZI
Eneo limejengeka
Miundombinu ipo
Huduma za kijamii zipo
Corner Plot
Bei ni Tshs. 4,500,000/= ( milioni nne na laki tano tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"