Kiwanja kinauzwa Nala, Dodoma


KIWANJA KIPO MITA 200 TOKA CHUO CHA DECCA KINAUZWA NALA JIJINI DODOMA
Eneo ukubwa ni 1,547 sq.m
Kipo mita. 200 toka Chuo cha DECCA
Hapo kwenye duara kipo Chuo
Kinafaa kwa UWEKEZAJI au MAKAZI
BEI ni Tshs. 5,800,000/= ( milioni tano na laki nane tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"