Kiwanja kinauzwa Nyasaka, Mwanza


🗣️ KIWANJA KINAUZWA 🌴
📍KIPO NYASAKA KANISANI MWANZA
• Kiwanja Kimepimwa
• Ukubwa wa eneo ni 15X30 (SQM 450)
• Kipo Mita 300 Kutoka Barabara ya Lami
• Kiwanja Kipo Location nzuri sana ya uwekezaji
BEI: MILIONI 25 (Maongezi Kidogo Yapo)
Piga simu kwa maelezo zaidi: 0765430905


















