Kiwanja kinauzwa Nzuguni, Dodoma


KIWANJA CHA KWANZA LAMI KINAUZWA NZUGUNI A JIJINI DODOMA
Mahali; Nzuguni A
Eneo ukubwa; 592 sq.m
Sifa; Cha kwanza lami
Kinafaa kwa UWEKEZAJI au MAKAZI
Maji/Umeme upo
Eneo limejengeka
Kipo sehemu nzuri
Bei; 65,000,000/= ( milioni sitini na tano tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"