Kiwanja kinauzwa Pongwe, Tanga







KIWANJA KINAUZWA PONGWE KIPO KARIBU NA BEACH/PWANI
#unguja #zanzibar
Umbali kutoka Kiwanja kilipo mpaka Barabarani Mita 300
Umbali kutoka Kiwanja kilipo mpaka Beach/Pwani Mita 100
Ukubwa wa Kiwanja Mita 19x40
Bei ya Kiwanja kimoja Tsh 25,000,000/- Milioni ishirini na tano
NB:Picha za Beach/Pwani ambazo zipo pamoja na picha za Kiwanja, zina lengo la kukuonyesha aina ya fukwe ilivyo na haina maana kuwa hiki Kiwanja kipo baada ya Beach/Pwani. Nasisitiza; umbali wa kutoka Kiwanja kilipo mpaka Beach/Pwani ni mita 100
What’s App/Call 0653007438
#mtegemeachanduguhufamaskini
#kimfaachomtuchake